Best 28 quotes of Simon Mashalla on MyQuotes

Simon Mashalla

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Amka. Hiki ni kipindi cha mwanamume kumtambua mwanamke. Wanawake kuweni makini na ndoa zenu 2017.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Conflicts of anticipation do not have a complete sense. They are not educative.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Haipendezi kuchezea ndoa, iwe yako au ya mwenzako, kama kizibo cha soda. Matokeo yake ni uchafu wa thamani ya utu! Heshimu ndoa ili kutunza heshima yako.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Hakuna nyumba nzuri ulimwenguni kama mbinguni.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Hujui kwa sababu hutaki kujua na ukijua pasipo kujua kama umejua hujajua. Kujua si lelemama! Kuna gharama.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  If you get drunk today ask yourself why you never got drunk yesterday, and if you got drunk yesterday ask yourself today why you got drunk yesterday. Drunkenness is bad when it affects someone’s life in a bad way.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  If you show life that isn’t yours you are wasting your time without knowing it. Let people see for themselves.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  I have never seen a strong and better weapon as truth. When you are honest you will just love it. People are afraid of the truth because of its sharpness, that’s why they’re liars.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  It is not nice to play for marriage, whether your own or that of someone else, as a soda stopper. The result is the unclean of the human dignity. Respect your marriage to take care of your dignity.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  I was thought of before I was born. I am more important than money. If money was more important than me I would not exist. There are days when I wake up I have no money.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Love is refreshment undefined its flavor. You will not prevent it.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Mapenzi ni kiburudisho kisichojulikana ladha yake. Huwezi kuyazuia.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Mwanamke hatosheki, anaridhika. Mpendelee!

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Mwenye hakika hafahamu kutokuwa na hakika kwa mwenye hakika.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Neno nakupenda ni rahisi na jepesi kulitamka katika miili yetu, ila ni zito sana katika mioyo yetu. Upendo si wa kuchezewa ovyo utakudondosha vibaya sana.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Nilifikiriwa kabla ya kuzaliwa. Mimi ni muhimu kuliko pesa. Pesa ingekuwa muhimu kuliko mimi nisingekuwepo. Kuna siku naamka sina pesa.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Nilipozaliwa nilipendwa na kuogopwa, watu walicheza na mimi lakini mimi sikucheza nao. Niliwapenda.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Oga. Watu hawaogi ndiyo maana wachafu. Kuoga ni lazima kutumia maji. Ukitaka kuoga neno, tumia maji; na ukitaka kuoga maji, tumia neno; kuwa msafi. Huwezi kuyakimbia maji maana usipooga utanawa, na usiponawa utayanywa tu. Maji ni neno na neno ni uhai wa maji.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Sema na MOYO wako kuifahamu ROHO yako ujue uko wapi.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Sijawahi ona silaha kali na nzuri kama ukweli. Ukiwa mkweli utaipenda tu. Watu wanaogopa ukweli kwa sababu ya makali yake ndiyo maana waongo.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Si vizuri kuonyesha moyo wa upendo kwa wanao, kwani hiyo ni hekima ya kukataliwa, isipokuwa kwa wengine.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Ukilewa leo jiulize kwa nini hukulewa jana na kama jana ulilewa leo jiulize kwa nini jana ulilewa. Ulevi ni mbaya unapoathiri maisha ya mtu.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Ukionyesha maisha ambayo si yako kwa watu, ujue unajipotezea muda wako pasipo kujijua. Waache watu waone wenyewe.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Usijidanganye. Mungu ahusiki na mwili wako, anahusika na roho yako. Roho inahusika na moyo wako, na moyo unahusika na mwili wako.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Wapo watu ambao ni gumzo katika ulimwengu wa dunia. Ukiwatazama lazima utaona tabasamu la ujasiri, ishara yake ni karibu. Enock Maregesi ni mwandishi anayestahili tuzo za juu kwa pongezi. Maneno yake katika uandishi yanaongea yenyewe kwa sauti yenye vigezo. Huwezi kuuliza kwa nini alizaliwa wakati tayari ameshazaliwa. Hongera sana kuzaliwa siku ya leo.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  When I was born I was loved and feared, people played with me but I never played with them. I loved them.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  Who knows doesn’t know what the other person knows of them. Have confidence in you.

 • By Anonym
  Simon Mashalla

  You don't know because you don't want to know and if you know without knowing that you know even if you know you don't know. Knowing is not easy! It has a price.